Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco (PICHANI) Bw. William Mhando, amesimamishwa kazi Jana kupisha uchunguzi juu ya tuhuma dhidi yake za ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka.pia wapo vigogo wengine pia waliosimamishwa pamoja na mkurugenzi....habari zaid itawajia.....