
Ma Mc wa Kili Music Awarsd usiku wa jana Millard Ayo na Vanessa.

Msanii Alikiba akishukuru Watanzania kwa kumpigia kura na kuibuka na tuzo hiyo,kulia kwake ni mdogo wake

Msanii kutoka THT,Rachael akitumbuiza usiku huu.

Msanii Dyana akiimba kwa hisia jukwaani.

Mwanamuziki Mkongwe wa taarab hapa nchini,Bi Shakila akiimba kwa umahiri mkubwa jukwaani.

Khadija Kopa akitumbuiza jukwani.

Isha Mashauzi na tuzo yake ya wimbo bora wa taarabu uitwao mamaa mashauzi

Mmoja wa Wasanii akitumbuiza kwenye utoaji wa tuzo za Kili 2012

Msanii AT pichani kulia kiwa na tuzo yake ya wimbo bora wenye vionjo vya asili uitwao Vifuu tundu.
Msanii Roma akiwa na tuzo yake ya msanii bora wa Hip Hop

Mwakilishi wa Msanii Ben Paul wakiwa na tuzo ya msanii huyo

Meneja wa Tip Top Connection,Babu Tale akiwa tuzo ya video bora ya mwaka ya wimbo uitwao hakunaga wa Sumalee
Wasanii mahiri katika Maigizo a.k.a vichekesho,Mzee King Majuto na Sharobalo Men

Ommi Dimpoz akikabidhiwa tuzo yake ya Msanii bora anayechipukia na pia amenyakua tuzo ya wimbo bora wa kushirikiana.

Ommi Dimpoz akitoa shukurani kwa washabiki wake kwa kuzinyakua tuzo hizo mbili

Mwakilishi
wa msanii Jaguar kutoka nchini Kenya akiwa na tuzo ya msanii huyo ya
wimbo bora wa Afrika Mashariki uitwao Kigeu geu.

Msanii Roma kikabidhiwa tuzo yake ya Msanii bora wa Hip Hop,ambapo pia aliibuka na tuzo ya wimbo bora wa hip hop.

Mwimbaji wa bendi ya Twanga Pepeta,Luiza Mbutu akipokea tuzo ya wimbo wa kiswahili (bendi) uitwao Dunia Daraja

Msanii Ali Kiba akikabidhiwa tuzo yake ya Wimbo bora wa Zhouk/Rhoumba
uitwao Dushelele.kutoka kwa mtangazaji mahiri wa Radio Clouds FM Dinna
Marrios
Mwimbaji mkongwe wa taarabu hapa nchini,Bi Khadija Omar Kopa akiwa na tuzo yake ya mwimbaji bora wa kike.

Khadija Kopa na bintize hapatoshi jukwaani .

Mwanamuziki mahiri wa taarabu nchini,Isha Mashauzi akiibuka kwenda kuchukua tuzo yake.Picha Zote na Mdau Ahmed Michuzi
No comments:
Post a Comment