Mzozo juu ya Heglig na vinu vyake vya mafuta vyenye utajiri umepelekea wasi wasi wa vita kamili.
Picha AP
Eneo lililoshambuliwa na bomu na majeshi ya anga ya Sudan huko Sudan Kusini.
Maafisa wa Sudan wanajeshi 400 wa Sudan Kusini waliuwawa wakati wa
mapigano katika mzozo wa mji wa Heglig, eneo la kuzalisha mafuta
linalodaiwa na nchi zote mbili.
Majeshi ya Sudan Kusini yamekamilisha uondokaji wao Heglig jumapili, wakisema idadi ya askari waliouwawa ni ndogo na kile Sudan wanachodai. Idadi ya waliojeruhiwa Sudan ni haiwezekani kuthibitisha.
Mzozo juu ya Heglig na vinu vyake vya mafuta vyenye utajiri umepelekea wasi wasi wa vita kamili ikiwa ni chini ya mwaka mmoja baada ya Sudan kusini kujitangazaia uhuru wake kutoka kaskazini.

No comments:
Post a Comment