
Mwanasiasa maarufu, mwasisi, katibu mkuu wa kwanza na mwenyekiti wa pili wa chama cha Demokrasia na maendeleo
(CHADEMA) amefariki dunia hii leo, msiba upo nyumbani kwa marehemu Mbezi Beach, karibu na Rainbow. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI.
No comments:
Post a Comment