![]() |
| wananchi wa hispania waliojitokeza kwa wingi kuipokea kishujaa timu yao ya taifa katika mitaa mbalimbali ya jiji la madrid wakiongozwa na mfalme wao kutokana na ushindi walioupata |
![]() |
| basi lililowabeba wachezaji likikatiza katika mitaa mbalimbali ya jiji hilo |
![]() |
| Mlinzi wa timu ya hispania na klabu ya real madrid albeola akiwaonyesha mashabi kikikombe cha ubingwa |
![]() |
| idadi ya watu waliojitokeza kuilaki timu ilikuwa ni kubwa mno kama inavyoonekana katika picha |




No comments:
Post a Comment