---
Mwanamuziki
mahiri kutoka nchini Uganda, Joseph Mayanja 'Jose Chameleone' usiku wa
leo amefunika vilivyo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini lililofanyika
ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Chameleone aliwarusha
mashabiki kwa baadhi ya nyimbo zake za zamani kama Mambo bado, Kipepeo
na ile mpya iitwayo Valu Valu inayopendwa na watu wengi hapa Bongo. kwa hisani ya haki ngowi
No comments:
Post a Comment