
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa Umoja wa
wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini (TAHLISO) walipomtembelea
Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumatano Julai 4, 2012. Viongozi hawa
walikuwa wakihudhuria kongamano la mabadiliko ya katiba lililokuwa
linafanyika katika ukumbi wa Karimjee.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na
viongozi wa Umoja wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini
(TAHLISO) walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumatano
Julai 4, 2012. Viongozi hawa walikuwa wakihudhuria kongamano la
mabadiliko ya katiba lililokuwa linafanyika katika ukumbi wa Karimjee.
No comments:
Post a Comment