
"MIONGONI
MWA UFISADI ULIOTIA FORA TANZANIA EBWANA HUU ULIPITA MIPAKA. HII NI
NDEGE YA JESHI LA ANGA LA QATAR AMBAYO ILITUMIKA KUIBIA WANYAMA 130 WA
AINA 14 TOFAUTI NCHINI TANZANIA NA KUWAPELEKA DOHA QATAR. SASA
WATANZANIA WENZANGU NAWAULIZA, INAMAANA WAHUSIKA WALI-PLAN KUUA KABISA
SOKO LA UTALII TANZANIA? kwa hisani ya 2n2 blog
No comments:
Post a Comment