
Mbunge wa Jimbo la Segerea Na Naibu Waziri , Dk. Miltoni
Makongoro Mahanga,
Makongoro
Mahanga aibuka mshindi katika kesi ya kupinga ubunge dhidi yake
iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge katika jimbo la segerea
kupitia tiketi ya Chadema Mh Fred Mpendazoe. Katika Uchaguzi uliofanyika
Mwaka 2010 na kumfanya Mahanga Kuibuka Mshindi kupitia ushindi huo
Aliyekuwa Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema alifungua kesi kwaajili
ya kupinga Matokeo ya Ushindi wake kwa vigezo kuwa Uchaguzi huo ulikiuka
taratibu na sheria za uchaguzi ambapo Hukumu Iliyotolewa leo
Imemtangaza Mahanga kuwa Mshindi wa Kesi hiyo lakini Hakimu alitoa
nafasi na Kusema endapo mlalamikaji akulidhika na Hukumu hiyo
anaruhusiwa kukata rufaa.
Hata hivyo Mpendazoe ametakiwa Kulipa gharama zote za Kesi Hiyo. HABARI KWA HISANI YA LUKAZA.
No comments:
Post a Comment