Redds Miss Higher learning 2011 Jackline Kinabo (aliyekaa) ambae amemaliza muda wake
akiwa tayari kumvalisha taji Mshindi wa Miss Redds Higher Learning 2012
katika ukumbi wa kilimani usiku wa kuamkia leo
Mshindi wa Taji la Redds Miss Higher
Learning Dodoma Mwaka 2012 Virginia Mokili (Katikakati) akiwa katika
Picha ya Pamoja na Mshindi wa Pili wa Taji hilo Jenipher Mafuru (Wa
Kwanza Kulia) na Mshindi wa tatu Lilian Maleo (Wa Kwanza Kushoto) mara
baada ya Shindano Kumalizika
Washiriki walioshiriki Katika
Shindano la Kumsaka Kimwana Wa Redds Elimu Ya Juu Kanda ya Dodoma wakiwa
katika Picha Ya Pamoja Kabla warembo walioingia Tano Bora Kutajwa
Baadhi ya Washiriki wa Shindano la
Kumsaka Mlimbwende Wa Redds Elimu ya Juu Kanda ya Dodoma 2012 walipokua
wakipita Jukwaani Kuonyesha Mavazi yao
Jaji Mkuu wa Shindano la Kumsaka
Mlimbwende wa Redds Elimu ya Juu Kanda ya Dodoma akisoma Majina ya
Washiriki waliobahatika Kuingia Hatua ya Tano Bora
Warembo waliofanikiwa kuingia katika Hatua Ya Tano Bora wakiwa katika Picha ya Pamoja kama wanavyoonekana
Mmoja wa washiriki alipokua Akichagua swali tayari kwa kulijibu
Muuandaaji wa shindano la Redds Miss Higher Learning Dodoma 2012 Evans Exaud alipokua akiwakaribisha watazamaji na mashabiki katika Shindano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Kilimani Usiku wa Kuamkia leo
Meza ya Majaji wakiwa makini na Zoezi zima la kutafuta Mshindi
Mdau wa Maswala ya Urembo Ester Zanghi Akiwa Makini kufuatilia shindano la Kumtafuta Mlimbwende wa Taji la Miss Higher Learning Dodoma 2012 katika ukumbi wa Kilimani
Muuandaaji wa shindano la Redds Miss Higher Learning Dodoma 2012 Evans Exaud alipokua akiwakaribisha watazamaji na mashabiki katika Shindano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Kilimani Usiku wa Kuamkia leo
Meza ya Majaji wakiwa makini na Zoezi zima la kutafuta Mshindi
Mdau wa Maswala ya Urembo Ester Zanghi Akiwa Makini kufuatilia shindano la Kumtafuta Mlimbwende wa Taji la Miss Higher Learning Dodoma 2012 katika ukumbi wa Kilimani
Msanii wa Kizazi Kipya Barnaba Akitoa
Burudani katika shindano La Kumsaka Mlimbwende wa Redds Elimu ya Juu
Kanda ya Dodoma 2012 katika Ukumbi wa Kilimani Usiku wa Kuamkia leo
Afisa Utamaduni Wa Manispaa ya
Dodoma Mh Kishosha akimkabidhi Zawadi Mshindi wa Kwanza wa Taji la Redds
Miss Higher Learning Dodoma 2012 Virginia Mokiri Mara Baada ya Kuibuka
Mshindi
Mshindi wa Pili wa Taji la Redds Miss
Higher Learning Dodoma 2012 Jennipher Mafuru akipokea Zawadi zake
Kutoka Kwa Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Dodoma Mh Kishosha Mara baada
ya Kutangazwa Kuwa Mshindi Wa Pili
Mshindi wa tatu wa taji la Redds Miss
Higher Learning Dodoma 2012 Lilian Maleo akipokea zawadi ya King'amuzi
kutoka Kampuni ya Star Time huku anayemkabidhi ni Afisa Utamaduni wa
Manispaa ya Dodoma
Walimbwende walipokua wakitoa
burudani kwa mashabiki na watazamaji waliokuja kushuhudia ni nani
atakayeibuka kidedea na Kuwa Redds Miss Higher Learning Dodoma 2012
shindano lililofanyika Katika Ukumbi wa Kilimani
Baadhi ya wwatazamaji waliojitokeza
kushuhudia nani ataibuka mshindi wa taji hilo usiku wa kuamkia leo
katika ukumbi wa Kilimani
wadau innocent lynn antony na muddy hella wakiwa na msanii Barnaba
Washiriki wote wa Kuwania Taji la
Miss Higher Learning Dodoma 2012 wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi
ya wadhamini wa shindano hilo lililofanyika Katika Ukumbi wa Kilimani
huku Virginia Mokiri Kuibuka MShindi wa Taji hilo
No comments:
Post a Comment