Sunday, July 15, 2012

ANGALIA: HII NDO HALI HALISI

hii ndo hali halisi katika ...nchi zetu za kiafrica ....hii ni wodi ya kinamama.....mazingira c mazuri kabisa kwa kweli...hapa hata mtoto mwenyewe anaetarajiwa kuja duniani kuna hatari ya kuugua..na hata kina mama wenyewe...CHUKUA HATUA HAKI AFYA......

No comments:

Post a Comment