Saturday, July 21, 2012

check hii: MFAHAMU ALIKO DANGOTE

aliko dangote alizaliwa mwaka 1957,huko kano,nchini Nigeria...ni mfanyabiashara wa kinaigeria anayemiliki utajiri wa dola billion 11.2...na anashikilia nafasi ya 76 kwa matajiri duniani..kutoka na jarida la forbes...anajishughulisha na biashara ya cement, vinywaji na biashara ya nafaka  chini ya kampuni yake ya dangote group....alianza biashara akiwa na miaka 21 baada ya kuhitimu masomo yake ya biashara katika chuo kikuu cha al-azhar nchini misri mnamo mwaka 1977...kwa sasa anakuja kuwekeza katika nchi ya Tanzania katika biashara ya cement......habari zaidi ingia mtandaoni kupata habari zake...

No comments:

Post a Comment