Tuesday, July 3, 2012

CHECK; MAPOKEZI MAKUBWA YA TIMU YA TAIFA YA HISPANIA


wananchi wa hispania waliojitokeza kwa wingi kuipokea kishujaa timu yao ya taifa katika mitaa mbalimbali ya jiji la madrid wakiongozwa na mfalme wao kutokana na ushindi walioupata

basi lililowabeba wachezaji likikatiza katika mitaa mbalimbali ya jiji hilo

Mlinzi wa timu ya hispania na klabu ya real madrid albeola akiwaonyesha mashabi kikikombe cha ubingwa

idadi ya watu waliojitokeza kuilaki timu ilikuwa ni kubwa mno kama inavyoonekana katika picha

No comments:

Post a Comment