Mkurugenzi
Mtendaji wa Tanesco (PICHANI) Bw. William Mhando, amesimamishwa kazi Jana kupisha
uchunguzi juu ya tuhuma dhidi yake za ubadhirifu na matumizi mabaya ya
madaraka.pia wapo vigogo wengine pia waliosimamishwa pamoja na mkurugenzi....habari zaid itawajia.....
No comments:
Post a Comment