Saturday, July 7, 2012

news:Rais Kikwete atembelea maonyesho ya Sabasaba Dar

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua baadhi ya bidhaa zitokanazo na Wannyamapori wakati alipotembelea banda la Wizara ya Mali asili na utalii katika viwanja vya maonyesho vya  Sabasaba jijini Dar es Salaam jana.

Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa PPF Bwana William Eriyo akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mradi wa uwekezeaji wa hoteli ya kisasa iliyojengwa na shirika la PPF mjini Mwanza wakati Rais alipotembelea banda la PPF katika viwanja vya maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment