Saturday, May 12, 2012

BAADHI YA TASWIRA ZA BONANZA LA PROF. KIKULA , YALIYOFANYIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA

                                     Baadhi ya mashabiki wakifuatilia kwa makini michezo mbalimbali
Mgeni rasmi Prof. Idris Kikula (mwenye suti nyeusi) akiteta jambo na baadhi ya wageni mbalimbali waliohudhuria bonanza hilo.
 wanafunzi wa kitivo cha elimu-udom wakishangilia ushindi wao kwa kuifunga timu ya kitivo cha sanaa na sayansi ya jamii katika mchezo wa mpira wa miguu.
          Mgeni rasmi makamu mkuu wa chuo kikuu cha dodoma akisalimiana na wanamichezo mbalimabali
                            baadhi ya wanamichezo wakijipanga kabla ya mashindano ya mpira wa miguu kuanza
                                                    michezo ya sarakasi pia ilikuwepo
BONANZA LA PROF. KIKULA LIMEFANYIKA LEO TAREHE 12 MAY 2012 CHUO KIKUU CHA DODOMA,LENGO LA BONANZA HILO LILIKUWA NI KUWAKUTANISHA PAMOJA WANAFUNZI, WAFANYAKAZI NA VIONGOZI WAKUU WA CHUO ILI KUWEKA UKARIBU KATI YA PANDE HIZO.

No comments:

Post a Comment