Thursday, June 21, 2012

check; makundi tishio ya waasi barani afrika

Kwa miongo kadhaa bara la afrika limekumbwa na tishio la makundi ya waasi ambayo ni hatari katika amani ya afrika hivyo yameathiri bara la afrika kwa kiwango kikubwa na mengi kati ya hayo makundi yamefanya matukio makubwa  yakiwemo ya uvunjaji wa haki za binadamu, moja ya makundi hayo tishio ni:
AL-SHABAB hili kundi linapatikana somalia.

JANJAWEED hili linapatikana sudan na linasapotiwa kwa kiasi kikubwa na serikali ya sudan.

LORD RESISTANCE ARMY hili linaongozwa na Joseph Kony na asili yake ni nchini Uganda, hili ndio kundi tishio zaidi na limedumu kwa miaka mingi.

BOKO HARAM, hili linapatikana nchini NIGERIA, Kundi hili limejikita zaidi kushambulia Makanisa na halaiki za watu kama sokoni,ni kundi ambalo kwa sasa linasumbua sana serikali ya nigeria .


No comments:

Post a Comment