Jeshi la polisi Tanzania limetoa nafasi kwa wanaomaliza vyuo (undergraduate) mwaka huu wanaopenda
kujiunga nalo.
Tahadhari iliyotolewa:
1)
Usijaze fomu ya kujiunga kama unamatatizo yoyote
ya kiafya au kimwili(physical disability)ambayo yanaweza kuwa kizuizi katika
kupata kozi mbalimbali za polisi au kufanya kazi.
2)
Fomu zijazwe na wahitimu wa mwaka huu(2011/2012)
pekee na si wengineo.
Form ya kujiunga na Jeshi la Polisi BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment