Sunday, June 10, 2012

ANGALIA: TASWIRA ZA MKUTANO WA CCM KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI JANA MCHANA


Mama aliyejipamba ki-CCM.
Maelfu wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa hadhara wa CCM unaofanyika  jana jioni kwenye Viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ni wa kuwapongeza viongozi wa mashina na matawi waliochaguliwa katika uchaguzi wa CCM ulifanyika kwa ngazi hizo mkoani Dar es Salaam
 Wilaya ya Kinondoni wakishangilia baada ya kutambulishwa.
 Watu wakionyesha kuwa na shamrashamra baada ya kukaa nafasi zao.
Wa Ilala wakiingia viwanja vya Jangwani.
 Watu kutoka Temeke wakiingia viwanja vya Jangwani.
Wa Mbagala wakiingia viwanja vya jangwani.Picha Kwa  hisani ya lukaza blog

No comments:

Post a Comment