Friday, April 13, 2012

NAPE NA VICKY WAZURU MNARA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE


  my tanzania at  - 6 hours ago
** * Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Vicky Kamata leo wamezuru Mnara wa kumbukumbu ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Marehemu Edward Sokoine, eneo la Morogoro, ambako alifariki dunia katika ajali ya gari. Pichani, Nape na Viki wakisoma maandishi kwenye mnara huo. Walikuwa wanatoka Dodoma Kwenda Dar es Salaam.*

No comments:

Post a Comment