Saturday, April 21, 2012

ZITTO KABWE AFANIKIWA KUFIKIA LENGO

ILE HOJA YA KUTOKUWA NA IMANI NA WAZIRI MKUU ILIYOIBULIWA NA MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI MH. ZITTO KABWE IMEFANIKIWA KWA KIASI KIKUBWA BAADA YA KURA WALIZOTARAJIA YAANI KURA 70 KUFIKA NA KUVUKA KUFIKIA 73....kutoka katika ukurasa wa facebook zitto kabwe amesema kura
Zitawasilishwa kwa Spika siku ya jumatatu tarehe 23/04/2012.  spika atapanga siku ya kujadiliwa na kuamuliwa hoja hiyo.

No comments:

Post a Comment